Fuatilia mzigo wako
Weka namba ya kumbukumbu iliyo kwenye SMS au risiti yako ya mzigo ili kuona hali yake papo hapo.
Jinsi ya kufuatilia
Una swali kuhusu mzigo? Wasiliana nasi
Pata namba ya kumbukumbu
Iko kwenye SMS uliyopokea wakati mzigo uliposajiliwa, na kwenye risiti yako.
Ona mzigo ulipo
Utaona kama umesajiliwa, uko safarini, umefika au umekabidhiwa. Mzigo ukifika, mpokeaji hupata SMS.
Maelezo kamili
Mtumaji au mpokeaji anaweza kuona maelezo kamili kwa kuthibitisha namba atakayotumiwa kwa SMS.