Ruka hadi maudhui makuu

Fuatilia mzigo wako

Karibu. Weka namba ya kumbukumbu iliyo kwenye SMS au risiti yako, uone mzigo wako ulipo.

Mabasi manne ya Ngasere High Class yakiwa sambamba

Jinsi ya kufuatilia

Una swali kuhusu mzigo? Wasiliana nasi

  1. Pata namba ya kumbukumbu

    Iko kwenye SMS uliyopokea wakati mzigo uliposajiliwa, na kwenye risiti yako.

  2. Ona mzigo ulipo

    Utaona kama umesajiliwa, uko safarini, umefika au umekabidhiwa. Mzigo ukifika, mpokeaji hupata SMS.

  3. Maelezo kamili

    Mtumaji au mpokeaji anaweza kuona maelezo kamili kwa kuthibitisha namba atakayotumiwa kwa SMS.

Unasafiri nasi

Kwa tiketi za abiria, tumia njia rasmi za Ngasere za kukata tiketi, au tuandikie WhatsApp au piga simu ofisini.

WhatsApp
0766 626 666
Piga simu
0767 322 221